TAULO ZA KIKE 1600 ZAKABIDHIWA KWA WANAFUNZI NJOMBE |Shamteeblog.

Na Amiri Kilagalilia,Njombe Mbunge wa viti maalumu mkoani Njombe Neema Mgaya amekabidhi msaada wa taulo za kike 1600 zenye thamani ya shilingi milion 4 kwa wanafunzi wa kike katika za sekondari  Maria Nyenyere,Makambakosekondari,Yakobi sekondari na Manyunyu sekondari. zitakazo weza kuwasaidia wanapokuwa hedhi. Mara baada ya kukabidhi taulo hizo amesema, ametoa taulo hizo baada ya kutambua changamoto […]

Source



By Mpekuzi

0/Post a Comment/Comments

Previous Post Next Post