TBC yatoa msaada wa matibabu kwa King Kiki |Shamteeblog.

Msanii mkongwe nchini anayejulikana zaidi kwa wimbo wake wa ‘Kitambaa Cheupe,’ Kikumbi Mwanza, almaarufu King Kiki anapatiwa matibabu nyumbani kwake baada ya kufanyiwa upasuaji wa shingo. King Kiki ambaye alifanyiwa upasuaji huo takribani miezi mitatu iliyopita kufuatia kusagika kwa zaidi ya pingili tano za uti wa mgongo, hali yake bado haijachachamaa kwani sasa anasumbuliwa na […]

The post TBC yatoa msaada wa matibabu kwa King Kiki appeared first on Tanzania Broadcasting Corporation.



By Mpekuzi

0/Post a Comment/Comments

Previous Post Next Post