Vunja Bei agawa vyombo kwa watumishi na wafanyakazi wa Hospitali ya Muhimbili Taasisi ya Mifupa MOI |Shamteeblog.

Shija Kamanija maarufu Vunja Bei ametoa zawadi ya vyombo kwa wafanyakazi wa Hospitali ya Taifa Muhimbili katika Taasisi ya Mifupa (MOI). Huu umekuwa ni mwendelezo wa zoezi lake la kugawa vyombo katika taasisi za serikali na leo wafanyakazi wa Taasisi ya Mifupa MOI wamejipatia zawadi hizo Vunja Bei amesema anasikia fahari kutoa zawadi kwa watumishi […]

The post Vunja Bei agawa vyombo kwa watumishi na wafanyakazi wa Hospitali ya Muhimbili Taasisi ya Mifupa MOI appeared first on Tanzania Broadcasting Corporation.



By Mpekuzi

0/Post a Comment/Comments

Previous Post Next Post