Vunja Bei agawa vyombo kwa watumishi wa MUHAS |Shamteeblog.

Shija Kamanija ‘Vunja Bei’ ametoa zawadi ya vyombo kwa wafanyakazi wa Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi (MUHAS) Huu umekuwa ni mwendelezo wa zoezi lake la kugawa vyombo katika taasisi za Serikali kati yao ni pamoja na watumishi na wafanyakazi wa MUHAS. Vunja Bei amesema anaona fahari kutoa zawadi kwa watumishi na wafanyakazi mbalimbali […]

The post Vunja Bei agawa vyombo kwa watumishi wa MUHAS appeared first on Tanzania Broadcasting Corporation.



By Mpekuzi

0/Post a Comment/Comments

Previous Post Next Post