Na Frankius Cleophace, Rorya. Wananchi wa kata ya Kitembe Wilayani Rorya Mkoani Mara wamepewa siku 30 kwa ajili ya ujenzi wa vyoo, kuchimba mashimo ya kutupa taka pamoja na kujenga chanja za kuwekea vyombo ili kuepuka milipuko ya magonjwa. Hayo yamebainishwa na Kaimu afisa mtendaji wa kata ya Kitembe, Roby Anselim katika mkutano wa […]
By Mpekuzi
Post a Comment