Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Aboubakar Kunenge amewasisitiza wananchi kuhakikisha wanafanya mazoezi na kuepuka ulaji usiofaa ili kujikinga na magonjwa yasiyo ambukiza ikiwemo Shinikizo la damu, magonjwa ya moyo, saratani na kisukari ambayo yamekuwa chanzo Cha vifo na usumbufu kwa wananchi. RC Kunenge amesema hayo wakati wa Ufunguzi wa wiki ya […]
By Mpekuzi
Post a Comment