Watanzania wametakiwa kuwa wazalendo katika kuilinda amani ya nchi kwani heshima ya Taifa lolote lile haitokani na kujipendekeza kwa Taifa jingine bali. Hayo yamesemwa na Mbunge wa Siha, Dkt. Godwin Mollel wakati akizungumza na waandishi wa habari mjini Moshi na kuongeza kuwa Watanzania wasikubali kudanganywa kwani amani iliyopo ni tunu na haipaswi kabisa itoweke. Mollel […]
The post Watanzania watakiwa kulinda amani ya nchi appeared first on Tanzania Broadcasting Corporation.
By Mpekuzi
Post a Comment