WATANZANIA WATAKIWA KUPUUZA MAANDAMANO |Shamteeblog.

Na Mwandishi wetu Mkurugenzi wa Sera na utafiti wa Watetezi wa rasilimali wasio na mipaka (WARAMI) Abadalla Mtolea amewataka watanzania wapuuze taarifa zilizotolewa na viongozi wa vyama vya upinzani za kuwataka wafanye maandamano kwa ajili ya kupinga matokeo ya uchaguzi mkuu. Kauli hiyo ameitoa mapema leo jijini Dar es Salaam wakati akizungumza na waandishi wa […]

Source



By Mpekuzi

0/Post a Comment/Comments

Previous Post Next Post