Baadhi ya watumishi wa TBC wamepanda Mlima Kilimanjaro (Hadi kituo cha Mandara) kupitia Njia ya Marangu kwa lengo la kuitangaza njia hiyo ambayo imeshinda tuzo huko nchini China ikiwa njia bora zaidi kupanda kwenye mlima huo. Kuna njia tano za kupanda Mlima Kilimanjaro ambazo ni Marangu, Machame, Umbwe, Rongai na Lemosho. Kati ya hizo, njia […]
The post Watumishi TBC waitangaza njia ya kupanda Mlima Kilimanjaro appeared first on Tanzania Broadcasting Corporation.
By Mpekuzi
Post a Comment