Wananunuzi wa bidhaa sokoni wametakiwa kununua bidhaa zilizo pimwa katika mizani ili kuepuka kupunjwa. Hayo yameelezwa Novemba 4, 2020 na Denis Misango, Kaimu Meneja Wakala wa Vipimo Mkoa wa Kilimanjaro wakati akizungumza na Darmpyablog juu ya umuhimu wa kutumia mizani pamoja na hasara ya kutokutumia mizani. Misango ameeleza kuwa wateja wengi wamekuwa wakipunjwa bidhaa […]
By Mpekuzi
Post a Comment