Na John Marwa Uchafuzi katika vyanzo vya maji umetajwa kama ni tatizo kubwa ambalo haliathiri tu, sekta ya maji bali huathiri pia na sekta nyingine wezeshi ikiwemo sekta ya afya, nishati, kilimo, mifugo na viwanda. Kufuatia hali hiyo na kupitia mkakati endelevu wa kulinda vyanzo vya maji, miundombinu pamoja na rasilimali za maji, serikali kupitia […]
By Mpekuzi
Post a Comment