Kampuni ya vipodozi ya Tridea Cosmetics, inayo furaha kumtangaza kuingia makubaliano na msanii Zuhura Othman ‘Zuchu’, kuwa balozi wa bidhaa zake. Zuchu ambaye ni msanii wa muziki wa bongo fleva katika lebo ya WCB, atakuwa balozi wa bidhaa za Tridea akihusika kwenye matangazo ya TV, magazeti na mitandao ya kijamii. “Zuchu […]
By Mpekuzi
Post a Comment