Zuchu: Tuzo ya AFRIMMA ni chachu kwenye muziki wangu |Shamteeblog.

Mwanamuziki wa kizazi kipya cha Bongo Fleva Zuhura Othman maarufu Zuchu amesema tuzo ya AFRIMMA ya Mwanamuziki Bora Chipukizi Afrika aliyoshinda ni kielelezo tosha kwamba muziki wake unatazamwa ulimwenguni hivyo amewaomba Watanzania kuendelea kumuunga mkono katika kazi zake. Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam mwanamuziki huyo kutoka lebo ya WCB amesema Watanzania […]

The post Zuchu: Tuzo ya AFRIMMA ni chachu kwenye muziki wangu appeared first on Tanzania Broadcasting Corporation.



By Mpekuzi

0/Post a Comment/Comments

Previous Post Next Post