Kuna Mwenye Swali? |Shamtee.blog

Kuna mwenye swali?ndivyo wanavyouliza mashabiki wa klabu ya Simba sc baada ya kufanikiwa kuvuka hatua ya pili ya mtoano kombe la klabu bingwa barani Afrika baada ya kupata suluhu dhidi ya timu ya Plateau United ya nchini Nigeria.

Simba sc imevuka hatua inayofuata baada ya kuwa na ushindi wa bao 1-0 katika matokeo ya michezo yote miwili nyumbani na ugenini.

Ikicheza kwa mkakati zaidi Simba sc ilitumia mua mwingi kukaba na kushambulia kwa kushtukiza kupitia kwa winga mwenye kasi Luis Miquessone lakini mpaka dakika 90 zinaisha matokeo yalibaki kuwa suluhu na kuihakikishia ushindi klabu hiyo.

The post Kuna Mwenye Swali? appeared first on Sports Leo.



By Author

0/Post a Comment/Comments

Previous Post Next Post