Mabalozi watakiwa kusimamia diplomasia ya uchumi na siasa |Shamteeblog.

Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Brigedia Jenerali Wilbert Ibuge ametembelea Ubalozi wa Tanzania nchini Ethiopia kwa lengo la kujionea utendaji kazi wa ubalozi pamoja na kukagua mali za serikali nchini humo. Balozi Ibuge kabla ya kuanza kukagua mali hizo, alikutana na watumishi katika mkutano ambapo amewataka kufanya […]

The post Mabalozi watakiwa kusimamia diplomasia ya uchumi na siasa appeared first on Tanzania Broadcasting Corporation.



By Mpekuzi

0/Post a Comment/Comments

Previous Post Next Post