SHIRIKISHO la Soka Afrika (CAF) limewasha taa ya kijani kuruhusu mashabiki kuingia viwanjani wakati wa fainali za Mataifa Afrika kwa Wachezaji wa Ndani (CHAN).
Michuano hiyo itafanyika mwakani (Jan. 16-Feb. 7) huko Cameroon, ikiwa ni baada ya kushindwa kuanza Aprili, mwaka huu, kutokana na janga la Corona.
from Author
Post a Comment