MBUNGE WA JIMBO LA ROMBO PROF. MKENDA AMBANA NAIBU WAZIRI WA AFYA KUHUSU HOSPITALI YA HURUMA, MWENYEWE AFANYA MAAMUZI. |Shamteeblog.

  Serikali imeongeza muda wa mwaka mmoja kwa Hospitali ya Huruma iliyopo Wilayani Rombo kuendelea kutoka huduma kama hospitali teule ya Wilaya kwa ajili ya kusubiri kukamili kwa ujenzi wa hospitali teule ya Wilaya inayojengwa tarafa ya Useri. Naibu Waziri wa Afya Dr. Godwin Mollel amefikia uamuzi huo akiwa kwenye ziara ya kikazi kwenye Jimbo […]

Source



By Mpekuzi

0/Post a Comment/Comments

Previous Post Next Post