NA MWANDISHI WETU, CHALINZE. MBUNGE Jimbo la Chalinze, Ridhiwani Kikwete amesema muda wa kazi ni sasa, hakuna kulala wala likizo ilikuwatumikia watanzania wanyonge. Ridhiwani ambaye amekuwa katika shughuli mbalimbali za Kijimbo, ambapo tarehe 27 Desemba 2020 licha ya kuwa ni siku ya mapumziko, ameweza kufanya ziara ikiwemo kukagua shule za Sekondari zaidi ya 6 […]
By Mpekuzi
Post a Comment