Manchester imesogea hadi nafasi ya 6 katika msimamo ligi kuu England baada ya kuitandika Sheffield United mabao 3 kwa 2 Sheffield walikuwa wa kwanza kuchungulia nyavu za United kupitia kwa David McGoldrick dakika ya 5 na kufunga bao la pili dakika ya 87 Matokeo hayo yalibadilishwa kwa magoli mawili ya Marcus Rashford pamoja na goli […]
The post Rashford apiga 2, United ikiitandika Sheffield appeared first on Tanzania Broadcasting Corporation.
By Mpekuzi
Post a Comment