DODOMA: Naibu Waziri wa Madini, Profesa Shukrani Manya amewataka watumishi wa Tume ya Madini kuendelea kuchapa kazi kwa bidii kwa kuwa Tume inatarajiwa kuwa na mchango mkubwa kwenye Sekta ya Madini na kuwezesha uchumi wa nchi kupaa. Profesa Manya ameyasema hayo leo tarehe 29 Disemba, 2020 kwa mara ya kwanza tangu kuteuliwa kuwa Naibu Waziri […]
By Mpekuzi
Post a Comment