Na Englibert Kayombo – WAMJW, SONGWE Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Godwin Mollel amewataka wataalam wa Teknolojia ya Habari na Mawasiliano katika hospitali kutengeneza mfumo wa ufuatiliaji wa dawa hospitalini ili kuwa na kanzidata ya matumizi sahihi ya dawa. Dkt. Mollel ametoa agizo hilo alipokutana na […]
By Mpekuzi
Post a Comment