NAIBU WAZIRI SILINDE AAGIZA TSC IPEWE OFISI ZENYE HADHI |Shamteeblog.

  Na Veronica Simba – TSC Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), David Silinde amewaagiza Wakurugenzi wa Wilaya kote nchini, kuhakikisha wanawapatia ofisi zenye hadhi, watumishi wa Tume ya Utumishi wa Walimu (TSC) katika maeneo yao. Ametoa maagizo hayo Januari 25, 2021 mjini Morogoro wakati akifungua Mkutano wa […]

Source



By Mpekuzi

0/Post a Comment/Comments

Previous Post Next Post