OR-TAMISEMI, Singida Naibu Waziri Ofisi ya Rais – TAMISEMI Mhe. David Silinde amemkabidhi Mwalimu mkuu wa shule ya sekondari ya Ikhanoda Kata ya Ikhanoda iliyopo Halmashauri ya Wilaya ya Singida Omary Selestine kwa jeshi la Polisi na TAKUKURU baada ya kugundua matumizi mabaya ya fedha za umma katika ujenzi wa bwalo la chakula kwa […]
By Mpekuzi
Post a Comment