Naibu Waziri wa Nishati, Stephen Byabato Januari 26, 2021 amefanya ziara katika Kituo cha kuzalisha umeme kwa kutumia gesi asilia cha Kinyerezi jijini Dar es Salaam. Mbali na mambo mengine, Naibu Waziri Byabato amesifu utendaji kazi wa Kampuni tanzu ya Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) inayohusika na masuala ya uzalishaji na usambazaji wa […]
By Mpekuzi
Post a Comment