Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Profesa Joyce Ndalichako amekagua mradi wa ujenzi wa Chuo kipya cha Mafunzo ya Ufundi Stadi na Huduma (VETA) katika Mkoa wa Kagera. Profesa Ndalichako amefanya ukaguzi huo Januari 9, 2021 wakati wa ziara ya siku moja mkoani humo ambapo amesema ameridhishwa na utekelezaji wa Mradi huo ambao umefikia asilimia […]
By Mpekuzi
Post a Comment