RAIS DK. HUSSEIN ALI MWINYI AFANYA KIKAO NA WADAU WA ELIMU |Shamteeblog.

 

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akifuatana na Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Mhe.Idrissa Kitwana Mustafa (wa pili kulia) mara alipowasili katika viwanja vya Ukumbi wa Sheikh Idrissa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzinar alipohudhuria katika kikao cha wadau wa Elimu kilichofanyika.[Picha na Ikulu] 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) alipokuwa akihutubia katika mkutano wa wadau wa Elimu uliofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrissa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar,[Picha na Ikulu] 
Mjumbe kutoka chama cha walimu Zanzibar (ZATUC) Bw.Salim Ali Salim alipokuwa akichangia katika mkutano wa Wadau wa Elimu uliofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrissa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar chini ya mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani).[Picha na Ikulu] 
Baadhi ya wadau wa Elimu wakiuatilia kwa makini namana ya uendeshaji wa kikao maalum kinachozungumzia uboreshaji wa masuala ya Elimu kilichofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrissa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar chini ya mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani).[Picha na Ikulu]


By Mpekuzi

0/Post a Comment/Comments

Previous Post Next Post