Na ANDREW CHALE, CHALINZE. MBUNGE Jimbo la Chalinze, Ridhiwani Kikwete amewahimiza wananchi wa Kitongoji cha Kisogo, Kijiji cha Visezi Kata ya Vigwaza kuhakikisha wanaunga mkono juhudi zinazofanywa na Serikali kuepeleka Maendeleo katika kata hiyo na halmashauri yao. Akiongea katika mkutano na wananchi ambao alifuatana na Mkuu wa Wilaya ya Bagamoyo, Mwenyekiti wa Halmashauri ya […]
By Mpekuzi
Post a Comment