SHIRIKA LA NDEGE LA ATCL LAZINDUA SAFARI ZA NDEGE KUTOKA DAR ES SALAAM HADI GEITA |Shamteeblog.



Ndege ya Shirika la Ndege la ATCL aina ya Bombardier Q-400 ikiondoka katika uwanja wa Ndege wa Geita, Chato kuelekea Mwanza mara baada ya uzinduzi wa Safari yake ya kwanza ya kutoka jijini Dar es Salaam.
Abiria wakishuka katika ndege hiyo ya ATCL aina ya Bombardier Q-400 mara baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa Geita.Ndege ya Shirika la Ndege la ATCL aina ya Bombardier Q-400 likiwasili katika uwanja wa Ndege wa Geita, Chato leo tarehe 09 Januari 2020 ikiwa ni uzinduzi wa safari yake ya kwanza mkoani Geita.

Magari ya Jeshi la Zimamoto yakitoa Saluti ya Maji kwa Ndege ya
Shirika la Ndege la ATCL aina ya Bombardier Q-400 ilipowasili katika
uwanja wa Ndege wa Geita, Chato leo tarehe 09 Januari 2020 ikiwa ni
uzinduzi wa safari yake ya kwanza mkoani humo.

Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa ATCL Mhandisi Emmanuel
Korosso na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika hilo Bw. Ladislaus Matindi
wakiwa wameshuka kutoka katika Ndege ya Shirika la Ndege la ATCL aina
ya Bombardier Q-400 uwanja wa Ndege wa Geita, Chato leo tarehe 09
Januari 2020 ikiwa ni uzinduzi wa safari yake ya kwanza mkoani humo Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Mhandisi Dkt. Leonard Chamuriho
akisalimiana na Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa ATCL Mhandisi
Emmanuel Korosso na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika hilo Bw. Ladislaus
Matindi waliowasili Ndege ya Shirika la Ndege la ATCL aina ya
Bombardier Q-400 katika uwanja wa Ndege wa Geita, Chato leo tarehe 09
Januari 2020 ikiwa ni uzinduzi wa safari yake ya kwanza mkoani humo. Kikundi cha ngoma cha BUFUNA ASILI kutoka kijiji cha Bwanga
kikitumbuiza wakati Ndege ya Shirika la Ndege la ATCL aina ya
Bombardier Q-400 ilipowasili katika uwanja wa Ndege wa Geita, Chato
leo tarehe 09 Januari 2020 ikiwa ni uzinduzi wa safari yake ya kwanza
mkoani humo.

Abiria wa kwanza wakitelemka kutoka katika Ndege ya Shirika la
Ndege la ATCL aina ya Bombardier Q-400 ilipowasili katika uwanja wa
Ndege wa Geita, Chato leo tarehe 09 Januari 2020 ikiwa ni uzinduzi wa
safari yake ya kwanza mkoani humo.

Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Mhandisi Dkt. Leonard Chamuriho
akiongoza viongozi mbalimbali na mamia ya wananchi kuipokea Ndege ya
Shirika la Ndege la ATCL aina ya Bombardier Q-400 ikiwasili katika
uwanja wa Ndege wa Geita, Chato leo tarehe 09 Januari 2020 ikiwa ni
uzinduzi wa safari yake ya kwanza mkoani humo.Sehemu ya mamia ya wananchi waliojitokeza kuipokea Ndege ya
Shirika la Ndege la ATCL aina ya Bombardier Q-400 ilipowasili katika
uwanja wa Ndege wa Geita, Chato leo tarehe 09 Januari 2020 ikiwa ni
uzinduzi wa safari yake ya kwanza mkoani humo.



Noel Komba (kulia) akiwa na wafanyakazi wenzie Flight
Officer Abdallah Yasin senior cabin crew Happy Kimbe na Diana Nkomola
walioweka historia ya kufanya safari ya kwanza ya Shirika la Ndege la
Tanzania (ATCL) wakati Ndege yake aina ya Bombardier Q-400 ilipotua
uwanja wa Ndege wa Geita, Chato leo tarehe 09 Januari 2020 katika
uzinduzi wa safari zake mkoani humo.

Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi Mhandisi Leonard Chamuriho
akionesha kikonyo cha tiketi yake wakati akiingia katika ndege baada
ya kuomngoza mapokezi ya Ndege hiyo ya Shirika la Ndege la ATCL aina
ya Bombardier Q-400 katika uwanja wa Ndege wa Geita, Chato leo tarehe
09 Januari 2020 katika uzinduzi wa safari yake ya kwanza mkoani humo.

Wafanyakazi wa Kampuni ya huduma za ndege ya AIRCO wakiwa
miongozi mwa wananchi walioipokea kwa furaha Ndege ya Shirika la Ndege
la ATCL aina ya Bombardier Q-400 katika uwanja wa Ndege wa Geita,
Chato leo tarehe 09 Januari 2020 ikiwa ni uzinduzi wa safari yake ya
kwanza mkoani Geita.

Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi Mhandisi Leonard Chamuriho akiwa na
viongozi wengine wakipata picha ya kumbukumbu ya mapokezi ya Ndege ya
Shirika la Ndege la ATCL aina ya Bombardier Q-400 katika uwanja wa
Ndege wa Geita, Chato leo tarehe 09 Januari 2020 ikiwa ni uzinduzi wa
safari yake ya kwanza mkoani Geita. Abiria wanaoelekea Mwanza kutoka Geita wakipanda Ndege
ya Shirika la Ndege la ATCL aina ya Bombardier Q-400 katika uwanja wa
Ndege wa Geita, Chato leo tarehe 09 Januari 2020 wakati wa uzinduzi wa
safari yake ya kwanza mkoani humo





By Mpekuzi

0/Post a Comment/Comments

Previous Post Next Post