Chelsea uso kwa uso dhidi ya Manchester City.
EPL inaendelea kutoa burudani kwa mashabiki wa soka duniani. Licha ya 2020 kuwa ni mwaka uliokumbwa na majanga yaliyoathiri michezo na sekta zingine, bado tunakila sababu ya kuendelea kufurahia michezo mbalimbali inayoendelea hivi sasa.
2021 kukaribishwa na Big Match ambapo ni miamba ya majiji mawili kuchuana ndani ya dimba moja kwa dakika 90. Ni Chelsea dhidi ya Manchester City ambao ni wageni pale Stamford Bridge.
Kihistoria, Disemba 7, 1907 kwa mara ya kwanza Chelseawalikutana na Man City wakati ule EPL ikijulikana kama League Division One, mchezo ule ilimalizika kwa matokeo ya 2-2.
Michezo mingi iliendelea tangu 1907 na mpaka kufikia mchezo huu, Chelsea na City wanakamilisha michezo 166. Kabla ya mchezo huu, The Blues wameibuka kidedea mara 68, wametoka sare mara 39 na The Citizens wameng’ara mara 58.
Takwimu zinakwenda mbali kidogo na katika michezo 10 ya mwisho, Chelsea ameshinda mara 4 na City ameshinda mara 6, hali itakuaje msimu huu?
Kwa uwezo wa kila timu msimu huu, Pep Guardiola bado hajasimama katika ubora wake wakati ambapo mpinzani wake – Frank Lampard akiendelea kuwajaribu vijana wake na kupata matokeo katika michezo yao.
Ni Pep au Lampard atakayeondoka na pointi 3 muhimu kwenye mchezo huu?
Wataalamu wa Meridian, wamekuwekea odds za kibingwa kwa mchezo huu na mingine mingi hapa.
Jisajili na Meridiabet hapa. na furaha yako itaanzia hapo. Pakua App ya Meridianbet kwenye simu yako na uanze kubashiri kwa uhuru nyumbani kwako. Pia, unaweza kuweka pesa kwenye akaunti yako kupitia KwikPay, M-PESA au Airtel Money. Kumbuka, daima hauwezi kupoteza tiketi yako ya kwanza ukiwa na Meridianbet, tuna Bonasi ya 100% inakusubiri.
from Author
Post a Comment