WAZIRI SIMBACHAWENE AKABIDHI CHETI NA SHILINGI MILIONI MOJA KWA ASKARI WA JESHI LA ZIMAMOTO NA UOKOAJI |Shamteeblog.

 

Waziri wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene (Wakwanza kushoto) akimkabidhi Cheti cha Kutambua Ujasiri na Utendaji Kazi Askari wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, Koplo Denis Minja, aliyeokoa maisha ya mtoto wa miaka miwili aliyekuwa ametumbukia kwenye shimo la choo Mjini Karagwe. Tukio hilo limefanyika leo katika Ofisi za Makao Makuu ya Wizara hiyo Mtumba, Jijini Dodoma.

Waziri wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene (Wapili kulia) akielekea kukagua Gwaride Maalumu lililoandaliwa kwa ajili ya hafla ya kumkabidhi Cheti cha Kutambua Ujasiri na Utendaji Kazi Askari wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, Koplo Denis Minja, aliyeokoa maisha ya mtoto wa miaka miwili aliyekuwa ametumbukia kwenye shimo la choo Mjini Karagwe. Tukio hilo limefanyika leo katika Ofisi za Makao Makuu ya Wizara hiyo Mtumba, Jijini Dodoma.

Waziri wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene akizungumza katika hafla ya kumkabidhi Cheti cha Kutambua Ujasiri na Utendaji Kazi Askari wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, Koplo Denis Minja, aliyeokoa maisha ya mtoto wa miaka miwili  aliyekuwa ametumbukia kwenye shimo la choo Mjini    Karagwe. Tukio hilo limefanyika katika Ofisi za Makao Makuu ya Wizara hiyo Mtumba, Jijini Dodoma leo.

Naibu Waziri wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Khamis Hamza Chilo (kulia) akizungumza na Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Christopher Kadio (kushoto),   katika hafla ya kumkabidhi Cheti cha Kutambua Ujasiri na Utendaji Kazi Askari wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, Koplo Denis Minja (hayupo pichani) aliyeokoa maisha ya mtoto wa miaka miwili aliyekuwa ametumbukia kwenye shimo la choo Mjini  Karagwe. Tukio hilo limefanyika katika Ofisi za Makao Makuu ya Wizara hiyo Mtumba, Jijini Dodoma leo.

Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Ramadhani Kailima (Watatu kutoka kushoto) akizungumza  na Kamishna Jenerali wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, John Masunga (Wakwanza kushoto), pamoja na Watendaji wengine wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji kabla ya kuanza kwa  hafla ya kumkabidhi Cheti cha Kutambua Ujasiri na Utendaji Kazi Askari wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, Koplo Denis Minja (hayupo pichani) aliyeokoa maisha ya mtoto wa miaka miwili  aliyekuwa ametumbukia kwenye shimo la choo Mjini Karagwe. Tukio hilo limefanyika leo katika Ofisi za Makao Makuu ya Wizara hiyo Mtumba, Jijini Dodoma. Waziri wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene (Watatu kutoka kulia) akiwa katika picha ya pamoja na Naibu Waziri wa Wizara hiyo, Khamis Hamza Chilo (Wapili kutoka kushoto), Katibu Mkuu Christopher Kadio (Wapili kutoka kulia), Naibu Katibu Mkuu, Ramadhani Kailima (Wakwanza kutoka kushoto) na Kamishna Jenerali wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, John Masunga (Wakwanza kutoka kulia) katika hafla ya kumkabidhi Cheti cha Kutambua Ujasiri na Utendaji Kazi Askari wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, Koplo Denis Minja (Watatu kutoka kushoto) aliyeokoa maisha ya mtoto wa miaka miwili aliyekuwa ametumbukia kwenye shimo la choo Mjini Karagwe. Tukio hilo limefanyika leo katika Ofisi za Makao Makuu ya Wizara hiyo Mtumba, Jijini Dodoma.



By Mpekuzi

0/Post a Comment/Comments

Previous Post Next Post