SPIKA NDUGAI AWAONGOZA WABUNGE KUAGA MWILI WA ALIYEKUWA MBUNGE WA MUHAMBWE VIWANJA VYA BUNGE JIJINI DODOMA |Shamteeblog.

 

Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai akiwaongoza Waheshimiwa Wabunge kutoa heshima za mwisho kwa mwili wa aliyekuwa Mbunge wa Muhambwe (CCM), Marehemu Injinia Atashasta Nditiye katika viwanja vya Bunge Jijini Dodoma kabla ya mwili wake kusafirishwa kwenda Mkoani Kigoma kwa ajili ya mazishi.

 Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai akizungumza wakati wa shughuli ya kutoa heshima za mwisho kwa mwili wa aliyekuwa Mbunge wa Muhambwe (CCM), Marehemu Injinia Atashasta Nditiye katika viwanja vya Bunge Jijini Dodoma kabla ya mwili wake kusafirishwa kwenda Mkoani Kigoma kwa ajili ya mazishi.

PICHA NA BUNGE



By Mpekuzi

0/Post a Comment/Comments

Previous Post Next Post