Na Zuena Msuya, Simiyu Naibu Waziri wa Nishati,Wakili Stephen Byabato, ameliagiza Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) kukamilisha haraka zoezi la kuwalipa fidia wananchi waliobaki ambao wamepisha Mradi wa Ujenzi wa Kituo cha Kupoza Umeme kilichopo Kijiji cha Imalilo wilayani Bariadi mkoani Simiyu, kabla ya mwezi Machi mwaka huu. […]
By Mpekuzi
Post a Comment