WAZIRI MKENDA AFUNGUA MKUTANO WA WAFANYABIASHARA WA MAZAO YA NAFAKA DODOMA |Shamteeblog.

Waziri wa Kilimo, Prof. Adolf Mkenda (Kulia,)akijadili jambo na Katibu Mkuu wake Bw.Gerald Kusaya,katika Mkutano wa wafanyabiashara wa mazao ya nafaka wenye lengo la kujadili changamoto zilizopo kwenye mazao hayo nchini kilichofanyika  leo Februari 13,2021 jijini Dodoma.
Baadhi ya washiriki wakimsikiliza Waziri wa Kilimo, Prof. Adolf Mkenda, wakati akifungua  Mkutano wa wafanyabiashara wa mazao ya nafaka wenye lengo la kujadili changamoto zilizopo kwenye mazao hayo nchini kilichofanyika  leo Februari 13,2021 jijini Dodoma.
Waziri wa Kilimo, Prof. Adolf Mkenda, akizungumza wakati akifungua  Mkutano wa wafanyabiashara wa mazao ya nafaka wenye lengo la kujadili changamoto zilizopo kwenye mazao hayo nchini kilichofanyika  leo Februari 13, 2021 jijini Dodoma.
 


By Mpekuzi

0/Post a Comment/Comments

Previous Post Next Post