Mabadiliko: Hayati Dkt. Magufuli Atazikwa Machi 26, 2021....Zanzibar Ataagwa March 23 |Shamteeblog.


Machi 20,2021- Mwili kupelekwa Uwanja wa Uhuru Dar es Salaam kwa taratibu za kuaga


Machi 21,2021- Wananchi wa Dar es Salaam kuaga mwili na kisha kusafirishwa kuelekea Dodoma


Machi 22,2021- Wananchi wa Dodoma kuaga mwili na baadaye kusafirishwa kuelekea Zanzibar


Machi 23,2021- Wananchi wa Zanzibar kuaga mwili na baadaye kusafirishwa kuelekea mkoani Mwanza


Machi 24,2021- Wananchi wa Mwanza kuaga mwili na baadaye kusafirishwa kuelekea Chato mkoani Geita


Machi 25,2021- Wanafamilia na wananchi wa Chato na Mikoa jirani kuaga mwili


Machi 26, 2021- Shughuli za Mazishi kufanyika Chato mkoani Geita





By Mpekuzi

0/Post a Comment/Comments

Previous Post Next Post