Mwenyekiti wa halmashauri ya wilaya ya Magu mkoa wa Mwanza Mpandalume Simon Mpandalume ameuomba uongozi wa wilaya ya Magu kupitia mkuu wa wilaya kumuita na kumuhoji mkuu wa shule ya sekondari ya Kabila Edgar Karokora kwa matumizi mabaya ya fedha na usimamizi mbovu wa fedha za serikali zilizotolewa kwa ajili ya ujenzi wa bweni katika […]
By Mpekuzi
Post a Comment