WORLD VISION YAADHIMISHA MIAKA 40 KWA KUTOA MADAWATI 350, WANANCHI WAASWA KUTOBWETEKA. |Shamteeblog.

  Na Allawi Kaboyo – Bukoba. Shirika la World Vision Tanzania Kanda ya Kagera Mach 04, mwaka huu, limeadhimisha miaka 40 tangu kuingia kwake hapa nchini kwa kutoa msaada wa madawati 350 kwa shule za msingi za RUZILA, KABILIZI , BITUNTU na KAMKOLE zilizopo halmashauri ya wilaya Bukoba ili kurahisisha watoto kusoma vizuri. Akikabidhi Madawati […]

Source



By Mpekuzi

0/Post a Comment/Comments

Previous Post Next Post