Hatimaye Askari Aliyemkaba Shingo Mmarekani Mweusi Mpaka Kufa Akutwa na Hatia ya Kumuua George Floyd |Shamteeblog.



Aliyekuwa Afisa wa Polisi Minneapolis Derek Chauvin amekutwa na hatia ya kumuua George Floyd mnamo Mei 2020 kwa kupiga goti shingoni mwa George alipokuwa akimkamata

Kitendo alichofanya Derek kimesemwa kuwa ni kinyume cha Mafunzo ya Polisi na kidachodaiwa kusababishwa ubaguzi wa rangi. Kifo cha George kilisababisha maandamano makubwa ya #BlackLivesMatter huko Marekani



from Author

0/Post a Comment/Comments

Previous Post Next Post