Jela Miezi Kumi Kwa Kuwapiga Picha Polisi Waliokuwa Wanakata Roho Katika Ajali |Shamteeblog.

 


Richard Pusey (42) amekutwa na hatia kwa kosa la kuwadhihaki na kuwapiga picha Maafisa wa Polisi waliofariki katika ajali


Jaji Trevor Wraight amesema jambo alilolifanya Richard lilikuwa la kikatili. Familia za Marehemu hazijaridhishwa na muda wa kifungo uliotolewa



from Author

0/Post a Comment/Comments

Previous Post Next Post