MAGE KIMAMBI amuandika HARMONIZE mazito, amshauri achukue GARI lake kwa KAJALA na arudi kwa SARAH |Shamteeblog.



Amendika Mange kimambi

"Mamangu alikiwa mmakonde wa Lindi. Kiswahili chake kilikuwa cha kimakonde kabisaaa 🤣🤣🤣🤣kwa hiyo mimi dadako upande wa mama 🤣🤣

Sasa nisikilize dadako rudi kwa mke wako utulie. Achana na haya magume gume ya mjini. Ukimiss misabwanda unachukua siku moja moja ila tulia na mzungu mdogo wangu. Maisha yenyewe magumu uanze kukimbizana na magume gume yaliomshinda mtume utaweza? Ona sasa wasafi wamekushinda dau mwanamke kawapa mameseji na mapicha. Ungekuwa na hela ndefu hata hiyo ya mwanae tusingekaa kuisikia huku nje. Tatizo Wasafi wamekuzidi dau la hela. We ulikuwa unawapeleka shopping mlimani city wale wamewapeleka shopping Dubai ndo maana wamekuchenjia.


Hii ni laana ya mzungu ukae ukijua. Mzungu amekutoa mbali mnooooooo alafu unamwacha kizembe zembe lazma Mungu akunyooshe. Embu rudi kwa mke wako please.


Kajala alishapotea mjini, hakuna aliekuwa anamkumbuka hata kama yupo, wewe ndo umemrudisha kwenye trending. Kajala hana akili hata robo haoni kama anatumika tu yeye pamoja na mwanae. Haki Kajala mi nashindwa hata kumuelewa ni mama wa dizaini gani. Yani Kajala single handedly anaharibu future ya mwanae. Yule Paula ndo atakuwa mrithi wa Wema Sepetu kwenye mascandal, mtaniambia tupo hapa.


Alafu check DM yako huko nimekuandikia kitu. We nae sio mjanja ujue. Yani unaacha mwanamke ana hela yule unaenda kwa manungaembe yalioshindikana duniani mpaka ahera? Yule Sara kwao wana hela za urithi wa babake za Mengi chamtoto. Unajua ukikaa na Sara hata mziki utaimba kama fun tu? Rudi kwa Sara haraka sana kabla sijakubamiza, yule Sara ataibiwa sasa hivi tena ataibiwa na hao hao wasafi shauri zako. Embu tumia akili wewe, life gumu hili, tulia kwa mzungu please.


Na gari umnyang’anye umpe Sara kama sorry atakusamehe, Kajala akanunuliwe ingine na wasafi. Sasa ngoja nisikie ulimnunulia kwa jina lake haki ntakutukana"

 



from Author

0/Post a Comment/Comments

Previous Post Next Post