“Nimeona kwenye mitandao ya kijamii baadhi ya Wanasiasa wakimsifia Rais Samia na kutoa kashfa juu ya utendaji wa Serikali iliyopita ya Hayati Dkt. John Magufuli, watu hawa wanajipendekeza ili waangaliwe katika nafasi za uteuzi, huo ni unafiki mbaya sana,” Askofu Peter Konk -Mwenyekiti wa Makanisa ya Kipentekoste.
from Author
Post a Comment