Tanzia : MKURUGENZI WA SHUWASA FLAVIANA KIFIZI AFARIKI DUNIA |Shamteeblog.




Flaviana Kifizi enzi za uhai wake
Mkurugenzi Mtendaji wa Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira Shinyanga (SHUWASA),Flaviana Kifizi amefariki dunia leo alfajiri Jumanne Aprili 20,2021wakati akiendelea kupatiwa matibabu katika hospitali ya taifa ya Muhimbili jijini Dar es salaam baada ya kuugua muda mrefu.

 R.I.P Flaviana Kifizi






By Mpekuzi

0/Post a Comment/Comments

Previous Post Next Post