*Meridianbet, Nyumba Yenye Odds Bora na Bonasi Kubwa.
Kasino ya mtandaoni ya Meridianbet imekusogezea bahati nasibu kupitia mchezo wa Keno. Keno ni mchezo wa namba ambao mchezaji anachagua namba 10 kutoka kwenye orodha ya namba 1 mpaka 80. Huu ni mchezo wa bahati nasibu, ukiwa na bahati sana utashinda pesa nyingi zaidi. Keno ni moja ya mchezo unaopendwa na wachezaji wengi wa Meridianbet.
Namna ya Kucheza Mchezo wa Keno
Ukiingia kwenye upande wa bahati nasibu ya Meridianbet, utaona ubao unaoonesha namba 1 mpaka 80. Mteja ataamua anataka kuweka dau la kiasi gani? Kumbuka, kila dau utakaloliweka, linaweza kukupatia faida stahiki kulingana na dau hilo.
Baada ya mteja kuweka dau, atachagua namba zake 10 za bahati anazoamini zitatolewa kwenye mzunguko unaofuata, baada ya kukamilisha hatua hizi, mteja atasubiri matokeo ya droo husika kutokea.
Namna ya Kupata Ushindi Kwenye Mchezo wa Keno
Ushindi wa Keno ya Meridiabet unategemea idadi ya namba ulizochagua na zile zilizotokea kwenye droo husika! Kama ukipatia namba mbili basi ushindi wako utakuwa ni mara 2 ya dau lako! Kama ukichagua namba zote na zikatokea katika ile droo kabambe ya "Zote zitokee" basi utakuwa miongoni mwa mamilionea! Jiunge sasa na Meridianbet na ufaidi odds, bonasi na promosheni kabambe!
Vigezo na masharti, kuzingatiwa!
By Mpekuzi
Post a Comment