GLOBAL TV imefunga safari mpaka mkoani Tabora nyumbani kwa kijana, Hamis Lubonda, ambaye ni mlemavu asiye na mikono yote miwili.
Kitu kikubwa kinachowavutia watu kwa bwana Hamis ni uwezo wake wa kufanya kila kitu licha ya kuwa mlemavu, ana uwezo wa kulima, kupokea simu, kuwasha moto, kuogelea na vitu vyote vinavyofanywa na binadamu mwenye utimilifu wa viungo.
from Author
Post a Comment