MWAKILISHI WA SHIRIKA LA UMOJA WA MATAIFA LINALOSHUGHULIKIA CHAKULA(WFP) AKUTANA NA WAZIRI SIMBACHAWENE JIJINI DODOMA |Shamteeblog.
Mwakilishi wa Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulika na Chakula (WFP) nchini, Sarah Gordon Gibson(kulia), akizungumza na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene masuala mbalimbali yanayohusiana na programu za chakula katika makambi ya wakimbizi yaliyopo nchini. Mazungumzo hayo yamefanyika leo, jijini Dodoma.Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi,George Simbachawene akizungumza na Mwakilishi wa Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulika na Chakula (WFP) nchini, Sarah Gordon Gibson (kulia), masuala mbalimbali yanayohusiana na programu za chakula katika makambi ya wakimbizi yaliyopo nchini.Mazungumzo hayo yamefanyika leo, jijini Dodoma.Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi,George Simbachawene akizungumza na Mwakilishi wa Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulika na Chakula (WFP) nchini, Sarah Gordon Gibson (katikati), masuala mbalimbali yanayohusiana na programu za chakula katika makambi ya wakimbizi yaliyopo nchini.Mazungumzo hayo yamefanyika leo, jijini Dodoma.Kulia ni Mkuu wa Sera na Mipango wa shirika hilo hapa nchini,Neema Sitta.Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi,George Simbachawene akiwa katika picha ya Pamoja na Mwakilishi wa Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulika na Chakula (WFP) nchini, Sarah Gordon Gibson (katikati)baada ya kumaliza mazungumzo yaliyofanyika leo jijini Dodoma.Kulia ni Mkuu wa Sera na Mipango wa shirika hilo hapa nchini,Neema Sitta.Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi
By Mpekuzi
Post a Comment