Kutoka katika Uwanja wa CCM Kirumba Mwanza ambapo yanafanyika maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani Kitaifa na Mgeni Rasmi anatarajiwa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan. Tayari viongozi mbambali wa Serikali wameanza kuwasili tayari kwa ajili ya shughuli hiyo.
By Mpekuzi
Post a Comment