RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na kuagana na mgeni wake Waziri wa Mambo ya Nje wa Uingereza anayeshuhulikia masuala ya Afrika Mhe. James Duddridge, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na mgeni wake Waziri wa Mambo ya Nje wa Uingereza anayeshuhulikia masuala ya Afrika Mhe. James Duddridge, wakitoka katika ukumbi baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliofanyika Ikulu Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Waziri wa Mambo ya Nje wa Uingereza anayeshuhulika Masuala ya Afrika.Mhe.James Duddridge, alipofika Ikulu kwa mazungumzo yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.([Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Waziri wa Mambo ya Nje wa Uingereza anayeshuhulika Masuala ya Afrika.Mhe.James Duddridge, alipofika Ikulu kwa mazungumzo akiongozana na Balozi wa Uingereza Nchini Tanzania Mhe.David Concar, yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.([Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi zawadi ya mlango wa Zanzibar mgeni wake Waziri wa Mambo ya Nje wa Uingereza anauashuhulikia masuala ya Afrika Mhe.James Duddridge, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 12/5/2021.(Picha na Ikulu)
By Mpekuzi
Post a Comment