SIASA SIO UADUI,WANANCHI WA BUHIGWE NA MUHAMBWE KUAMUA KESHO NANI ATAKUWA MBUNGE WAO. |Shamteeblog.


 

Katibu wa Halmashauri  Kuu ya Taifa itikadi na uenezi Ndugu Shaka Hamdu Shaka akizungumza jambo na Kiongozi Mkuu wa Chama cha ACT Wazalendo Ndugu Zitto Kabwe walipokutana Kibondo mjini leo Mei 15,2021,ambapo vyama hivyo leo vinahitimisha/funga kampeni zake tayari kwa uchaguzi hapo kesho Mei 16,2021.




By Mpekuzi

0/Post a Comment/Comments

Previous Post Next Post