HomeHABARI SIKUKUU YA EID -EL- FITR NI IJUMAA MEI 14 |Shamteeblog. NaAidan Shamte -May 13, 2021 0 Mufti wa Tanzania, Sheikh Abubakar Zuberi ametangaza kuwa Sikukuu ya Eid El-Fitr ni Ijumaa Mei 14, 2021. Amesema leo Mei 12, 2021 mwezi haujaonekana hivyo waumini wa dini ya Kiislamu wataendelea kufunga kwa siku ya 30. By Mpekuzi
Post a Comment