Viwanja Vinauzwa Kigamboni Gezaulole Kwa Bei Nzuri Kabisa |Shamteeblog.


 Karibu utimize ndoto yako ya kumiliki kiwanja maeneo ya Kigamboni Gezaulole Block 17 kwa bei sawa na bure na njia mpya na rahisi kimalipo yaani FLAT - RATE MODE OF PAYMENT.

Ukubwa wa viwanja ni kauanzia Square meter 300 mpaka 1000

Umbali kutoka feri ni kilomita 12 tu na kilomita 2 kutoka Rami.

Bei ni 18,000 kwa Square meter moja

Malipo ni FLAT - RATE ya TSh 500,000/= tu kila mwezi mpaka utakapo kamilisha malipo yote kwa kipindi cha mwaka mmoja au zaidi ya mwaka mmoja hatimaye umiliki kiwanja chako katika mradi wetu wa Kigamboni -  Gezaulole.

Wahi ofa hii mapema bila kuchelewa.

Tupigie: 0767358229


By Author

0/Post a Comment/Comments

Previous Post Next Post