"Kibenten Wangu Anakuna Nazi" - Tabu Mtingita |Shamteeblog.

 


Mchekeshaji Tabu Mtingita amesema amemtoa mbali sana mpenzi wake Alex Gitaa na moja ya sifa za mpenzi wake huyo ni kumsadia kukuna nazi awapo nyumbani wakati wanafanya maandalizi ya chakula.


Tabu Mtingita amesema baadhi ya wanawake mitandaoni wanamtaka mpenzi wake Alex kwani anaona ujumbe 'Direct message' anazotumiwa kwenye mtandao wa Instagram.


"Wanamtaka kijana wangu halafu mimi nimemtoa mbali huyu na naziona DM nyingi za kumtaka, mimi ni pisi kali  siwezi kumpiga mume wangu, tunaishi vizuri tunapendana na tunaheshimiana, yupo tofauti amelelewa kwanza anaweza kukuna nazi tangu akiwa mtoto kuosha vyombo na kupika" ameeleza Tabu Mtingita



from Author

0/Post a Comment/Comments

Previous Post Next Post